Nimerudi ghetto nimekuta wameiba kila kitu

Nimerudi ghetto nimekuta wameiba kila kitu

Nyumba ya kupanga mkiwa wapangaji wengi ni mtihani,,wengine wanarudi usiku wa manane,wamelewa,geti halifungwi,etc
 
WAKUU
KILA JANGA NI FURSA
MOJA KWA MOJA KWENYE MADA NINA GETO DODOMA. LIPO NDANI YA UZIO(UKUTA NA GETI) WAPANGAJI WENGI NI WANACHUO NA BAADHI WASIO WANACHUO ,PIA MWENYE NYUMBA HAISHI HAPO.
MNAMO TAREHE 13/03/2020
NILIONDOKA NAKUINGIA MJINI DASLAM NA KUPELEKEA KUKAA MPAKA JANGA LA CORONA LIKAINGIA NCHINI HIVYO SIKURUDI DOM MPK WIKI ILIYOPITA BAADA YA KUPIGIWA CMU NA MANZI MMOJA ALIKUWA ANAISHI NEXTDOOR(GETO LA PEMBENI YANGU) KUWA VITU VYAKE VIMEIBIWA,KUFIKA NA MM NIKAKUTA YALEYALE KWANZIA KITANDA MPAKA NGUO WALICHOACHA NI PAZIA TU NA KWA MANZI NAPO HIVO HIVO.UKIJA KWA MAMA MWENYE NYUMBA JIBU LAKE NI MOJA “ ANAKWAMBIA WEZI HAWANA HURUMA,NAOMBA KODI YA MWEZI MMOJA ULIOPITA PIA” NB KODI ILIISHA 15/05/2020 SO ANATAKA KODI YA KIPINDI HICHO MPAKA SAIVI NA NIONGEZEE YA MIEZI MITANO MINGINE.
Next time acha mwanachuo wa kike getho anakua mlinzi sio ukitoka unaweka kufuli au OA
 
Acha undezi,yaani unamdai 4k,kata juu kwa juu hela yako,kilichobaki rudisha....acha unyonge ungekuwa karibu ningekutandika bonge kwenzi....Pole kwa kuibiwa.
 
Ukituliza kichwa utajua ukweli.Nakushauri tulia fanya uchunguzi wa kina utampata mwizi wako ila shirikisha polisi pia.
 
Back
Top Bottom