Najua ulikuwa jukwaan kama kawa kwa ID ya Topical. Vipi ile ID ya Mbwa utaitumia au unaitema! Akili zilikuisha kabisa ukaamua kujiita mbwa! Kweli kibarua ulichopewa na Nape ni kama Mungu wako. Ukaona ni bora kujiita mbwa usije kufa na njaa!? U've reached the maximum point of foolishiness! Poor U!