Nimerudi baada ya kuji-BAN!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
Wandugu,
Nimerejea baada ya self ban ndefu kutokana na vitisho vingi toka kwa baadhi yenu....wabillahi tawfiq!!!
 
Hapana nilipata hasira nikaona nisiharibu heshma yangu,kukaa kimya dawa pia
 
pole kwa kukacrika, ila ucrudie tn cz hacra znaleta visukar vcvyopona! Kwel kukaa kmya ni dawa bt itakuwa vp ukikerwa tn?
Hapana nilipata hasira nikaona nisiharibu heshma yangu,kukaa kimya dawa pia
 
Karibu sana, we missed u. Ulikuwa unaingia kama guest nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…