..........................
mie sizijui sehemu ila kwa pesa hio uliyoiandaa nadhani utapata pete nzuri tu.....
Nafikiri si rahisi yy kukataa kwani amekuwa akiniuliza pia kuhusu hili... nway shukrani geeeeeeeeeeeeeelsio sahihi bora umwambie mana waweza pata aibu bure pale atakapo kataa mbele ya kadamnasi
ni bora ujiaminishe kwanza ndio ufanye ivo la sivo utaumbuka meeeeeeeen
Duuuh hii itabidi niifanyie mazoezi teteteeehhmpeleke sehemu nzuri kama hoteli moja nzuri yenye utulivu,mkiwa wawili tu mmeorder dinner ndio upige goti na kumvalisha na kumwomba ruhusa uwe mumewe....all the best.
mstari wazi kwa ushauri wako mkuuNi nini hiki?
Katika maongezi yenu jaribu kuanzisha mjadala wa ndoa upate mawazo yake. Muulize ana.mawazo gani kuhusu ndoa, lini anadhani anaweza kuwa tayari kuingia, vipi anakufikoria wewe and so. . . so.
Kama mtazamo wako uko chanya kanunue hiyo pete umvishe, kama sio ipe muda umsome zaidi.Usitake kuabishwa mbele ya kadamnasi.
Mkuu, nadhani gramu 1 itakuwa kwny tsh 80,000. jipange angalau uweze kununua gramu 2, zinapatikana kwenye sonara nyingi tu pale mnazi mmoja karibu na mnara wa saa, au nenda kwa nchimbi yupo magomeni mapipa.
Ndivyo utaratibu ulivyo????/ mi najua ikifika wakati wa mahali hapo ni ndoa mkononi mpango wa kuoa ni june/julyPete huvalishwa baada ya mahali kulipwa au siku ya mahali! mambo ya suprise sio mazuri katika hili.
Nimefanya hivyo tayari... yuko tayari
OK ni ushauri mzuri nitamdodosa kwanza nione kwao huwa inakuwaje Thanx.......Umeshatoa posa? Mahari je? Raha ya pete uvishwe siku ya kutoa mahari..........mbele ya wazazi na ndugu. Sasa sijui utaratibu wa kwao huyo dada, ila ingekuwa vizuri kufanya utaratibu na makubaliano ya ndoa ili pete mvishane kiheshima.