Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
samata alipoa sana , Torres ni elninoUpepo umeigeukia tu Aston Villa.
Pengine hata Samatta sasa angekuwa anatupia tu.
Alikaa Torres msimu mzima haoni nyavu sembuse Samatta.
Acha kufananisha Torres na utopolo wewe.Upepo umeigeukia tu Aston Villa.
Pengine hata Samatta sasa angekuwa anatupia tu.
Alikaa Torres msimu mzima haoni nyavu sembuse Samatta.
Walivyocheza villa leo au msimu huu ndo walivocheza msimu uliopita!?samata alipoa sana , Torres ni elnino
Naunga mkono hojaSamatta ana uwezo mdogo anazidiwa hata na konde boy
Samatta ni wa kawaida sana
Vivyo hivyo samata amefiti kwa fernerbahec au hujaonaKwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote kwa timu hiyo.
Watkins ambaye amefunga mabao matatu katika kipigo cha mbwakoko alichokipata Liverpool ambaye ni bingwa mtetezi leo cha mabao 7-2, ni wazi kuwa Samatta alikuwa mzigo kwa Aston Villa.
Ukweli usemwe, Samatta hakuwa na kiwango cha kuwika Premier League na kuwa msaada kwa Aston Villa. Labda awike huko Uturuki alipo. Watkins ni moto!
Hoja hapa ni kiwango cha uwanjani cha Samatta kama mcheza soka. Hakuna haja ya kuzungumzia kipato na kazi za watu. Mkuu, tujadili kiwango cha Samatta cha uwanjani na kuacha mambo mengine yasiyohusika hapa. Kumbuka, kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.Wewe ni wa tofauti! Mwenzako salary inasoma kila wiki. Wewe kila wiki uko mahakamani kuvizia watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili upate chochote.
Unazingua Wakili msomi. Tusimkatishe tamaa mtu ambaye ni mpambanaji kuliko sisi. Ni Mtanzania wa kwanza kati ya Watanzania karibia milioni 60 kucheza EPL, kucheza GENK, Ligi ya Mabingwa Ulaya, Europa Ligi! Nk.
Halafu unasema Samatta ni wa kawaida sana!! Sikubaliani na wewe.
Hahahahahah nimecheka kweli .Wewe ni wa tofauti! Mwenzako salary inasoma kila wiki. Wewe kila wiki uko mahakamani kuvizia watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili upate chochote.