Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,
Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smrart phone.
Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu,
Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote,