Nimerejea rasmi CCM!

Nimerejea rasmi CCM!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,093
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
 
Njaa kali umesikia buku 7 sasa unatangatanga kama malaya wa jori,nusu saa hapa dakika kumi pale.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Umelogwa, Jitambue
 
Njaa kali umesikia buku 7 sasa unatangatanga kama malaya wa jori,nusu saa hapa dakika kumi pale.
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA
 
Jitambue dada yangu shoga.
 
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

Imba huku unajipigia vigelegele basi, au unaonaje??
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI

Karibu sana mkuu kwenye chama chenye sera zenye dira ya maendeleo
 
hayo maendeleo yako wapi mbona hayaonekani?kila kitu simnakopa nyie?kuna ata kimoja ktk hvy vichache mnavyojivunia mmefanya kwa pesa za walipa kodi wa nchi hii au nikwa misaada ya IMF na WB km sio kwa hisani ya watu wa Marekani?
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
Hivyo vyote ni Haki yako sii shukurani.Hata hujielewi umepata tenda nini ya kifasadi?maana sifa kuu ya mwana ccm ni ufisadi
 
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI

DUME? limekugegeda marangapi?
 
Elimu,afya, na ajira
Leo umepita maeneo ya uwanja wa taifa kijana
Kuna bomu kubwa lipo pale na 2015 lazima litakilipua hiki chama kizee kipotee kabisa kwenye anga za siasa tz kama kanu ya kenya
 
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

ISH!!!! yaani unamaanidha CDM ni mchepuko au nimeelewa vibaya
 
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

Why cdm? Mbona kuna vyama zaidi ya ishirini? Hii ni chuki binafsi tu,f.al.a wewe kafie mbele,eti cdm wajasiriamali kwan tz kuna ccm na cdm tu? Basi sema hata nccr,udp,jahazi,act etc n.yo.k.o
 
Duh hiyo kali.
Eti,chadema ni mchepuko..... hahahahaha kwikwikwikw.
 
hayo maendeleo yako wapi mbona hayaonekani?kila kitu simnakopa nyie?kuna ata kimoja ktk hvy vichache mnavyojivunia mmefanya kwa pesa za walipa kodi wa nchi hii au nikwa misaada ya IMF na WB km sio kwa hisani ya watu wa Marekani?

Huyaoni hayo maendeleo ndugu yangu? Barabara,shule,afya,maji n.k wamejitahidi japo najua still kuna mapungufu but ukisema hamna maendeleo ndg duh unakuwa umejitoa ufahamu!
 
Kweli nimeamini s"hukurani ya punda ni mateke"leo hii mtu na akili zake anathubutu kusema eti CCM haijafanya lolote,huu ni ukipofu wa aina gani,mlitaka ccm ikujengeeni nyumba ikupeni na magari la hasha haiwezekani kazi ya ccm na serikali yake ni kukuandalia mazingira bora ya kielimu kiafya kimiundombinu vingine vinavyobakia ni lazima upigane binafsi "kumbuka hii ni dunia ya kunyan'ganyana vuta ni kuvute bwana mbowe na kikundi chake wanapigania riziki kupitia taasisi yao ya CDM akili zao zimewatuma kwa kuanzisha umoja huo itawasaidia kupata DAILY BREAD YA UHAKIKA kwa kutumia nguvu ya wavivu wa chache wa KUTAFAKARI MAMBO KWA KINA
 
Back
Top Bottom