Nenda kachukue form yao ile ujaze tena afu uwe na viambatanisho kama vya mwanz usisahau na lost reportJamani wadau, msaada kwa anayejua process za kupata passport mpya? , natakiwa niwe na nini na nini , na itachukua mda gan kupata passport mpya ? .
Jamani wadau, msaada kwa anayejua process za kupata passport mpya? , natakiwa niwe na nini na nini , na itachukua mda gan kupata passport mpya ? .
Wakuu walisema ukipoteza passport mpya ni laki 5 cash ukipoteza Mara ya tatu ni laki7 kwahiyo jiandae kisaikologiaJamani wadau, msaada kwa anayejua process za kupata passport mpya? , natakiwa niwe na nini na nini , na itachukua mda gan kupata passport mpya ? .
Nenda online jaza form lipa 20.000 kwa mpesa nenda uhamiaji na form ulizojaza pamoja na ID ya uraia. Kuhusu kupoteza police report pia watahitaji invitation letter unapokwendaPassport yangu ilikua ya zaman sio mpya mkuu
Inatosha hiyo hapo sasa fuata utaratibu wao..kama upo Tanzania nenda uhamiaji kama upo nje basi wasiliana na embassy ya tzNina loss report ya nchi niliyopotezea, au natakiwa kuwa na ya bongo pia ?
Ndani ya wiki 2 unapata kama umekamilisha documents wanazohitaji hata 1 weekKitambulisho ninacho, nilipata juzi kati , and I hope hawatachukua muda kuitoa maana natak kuondoka bongo before march
Inabidi uanze mchakato upya kama vile hukuwahi kumiliki passport kabisa!kama hauna kitambulisho cha Taifa huwezi kupata passport mpya!Passport yangu ilikua ya zaman sio mpya mkuu
Aiseee ukifanikiwa kuondoka kawape sana salamu MABEBERUKitambulisho ninacho, nilipata juzi kati , and I hope hawatachukua muda kuitoa maana natak kuondoka bongo before march
Passport yangu ilikua ya zaman sio mpya mkuu
Ulirudi vipi bongo baada ya kupoteza??Nina loss report ya nchi niliyopotezea, au natakiwa kuwa na ya bongo pia ?
Kitambulisho ninacho, nilipata juzi kati , and I hope hawatachukua muda kuitoa maana natak kuondoka bongo before march