Nimepoteza passport , Msaada jinsi ya kupata passport mpya

Jamani wadau, msaada kwa anayejua process za kupata passport mpya? , natakiwa niwe na nini na nini , na itachukua mda gan kupata passport mpya ? .

Kwa sasa kikubwa ni uwe na kitambulisho cha uraia na dhumuni la safari baas unakua umeipata.
 
Jamani wadau, msaada kwa anayejua process za kupata passport mpya? , natakiwa niwe na nini na nini , na itachukua mda gan kupata passport mpya ? .
Wakuu walisema ukipoteza passport mpya ni laki 5 cash ukipoteza Mara ya tatu ni laki7 kwahiyo jiandae kisaikologia
 
Kwa sasa kikubwa ni uwe na kitambulisho cha uraia na dhumuni la safari baas unakua umeipata.

Kitambulisho ninacho, nilipata juzi kati , and I hope hawatachukua muda kuitoa maana natak kuondoka bongo before march
 
Pole warumi. Uongo mbaya nimekuja mbio nikajua labda kwa hiyo heading kuna celebrate mmoja ume mnukuu akisema amapoteza hati yake ya kusafiria.
 
Passport yangu ilikua ya zaman sio mpya mkuu
Nenda online jaza form lipa 20.000 kwa mpesa nenda uhamiaji na form ulizojaza pamoja na ID ya uraia. Kuhusu kupoteza police report pia watahitaji invitation letter unapokwenda
 
Kama ulipotezea nje uliingiaje bongo? Ulikuwa na tempo pass? Kama imesainiwa na mtu wa ubalozi wetu huko basi kawaonyeshe ama sivyo anza moja.
 
Ripoti polisi, ukiomba upeleke hiyo ripoti, kitambulisho cha taifa, vyeti vya kuzaliwa/ affidavit (chako na wazazi), barua ya kiongozi wa mtaa/tarafa unayoishi.
Passport yangu ilikua ya zaman sio mpya mkuu
 
Unachotakiwa kwanza upate police report
Barua yako binafsi inayoeleza mazingira ya kupotea kwa hy passport yako, ukatoe tangazo kwenye gazeti la serikali na chapisho la gazeti hilo likitoka uambatanishe pamoja na hayo maombi + vitu vyoye ulivotumia wakati wa kuomba passport yako ya mwanzo NB: Kiyambulisho cha mtanzania ni lazima kua nacho
 
Back
Top Bottom