Nimepoteza mkanda wa kiuno...

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Nimepoteza kipenzi changu Jamii Forum!
Nimepoteza mkanda wa kiuno... nitarudi......

Jina lake ( Jina ) .............

Nimepoteza Kipenzi changu Jamii Forum!
.................
kama kule MMU sijui, amakule Great thinker sijui,..
ama kule Chit Chat.. au ..........sijuiii
Popote alipo nitafutieeee..........
 
mm nimeona mkanda mahali ila sio wa kiuno.ni wa video.,
 
yaani hizi lugha za kishairi zinakera mpaka basi maana nilijiaanda kutukana balaa..

:Focus kipenzi chako mkanda umekipotezea kule bondeni kwa dada maria roza
 
ameuokota ndetichia eti aliuona kule bondeni kwa dada maria roza

sasa wewe manoah bondeni kule mbali ulienda kufanya nini na
huo mkanda wako
 
Last edited by a moderator:
mkanda wako ulichukuliwa ulipolala hapa, hukumbukuki...?

 
mi nina mkanda wa jeshi.........sasa sijui nido huo...eti manoah
 
Last edited by a moderator:
pole sana umepoteza mkanda wa kiuno
angalia yasikukute ya pepe kale.
 

Maumivu ya kichwa huanza pooole pole, karibia Mirembe wanapata mgonjwa mpya hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…