KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,146
- 40,912
Ili uwe karibu na mtu fulani au watu fulani lazima muwe na jambo linalowaunganisha......na ukaribu huo unakuwa mkubwa zaidi kama mtakuwa mna mambo mengi yanayofanana............kwa hiyo hayo mambo ndio yatakuwa yanawaunganisha......
Kuoa ni tukio kubwa sana kwa mwanaume.....ni tukio ambalo kwa mtu aliyedhamiria ni lazima libadili taswira nzima ya maisha yake........kwa sababu huyo mtu hawezi au Kuamua kwa upande wake pekee bali na kwa upande wa mwenzake...........
Marafiki ni sehemu ya maisha ya maisha yako lakini hawapaswi kuyaongoza maisha yako.........
Marafiki wanaweza kukufanya uchelewe kurudi nyumbani
Marafiki wanaweza kukufanya utumbukie kwenye ulevi na kuyaharibu maisha yako......
Marafiki wanaweza kukufanya uwe mhuni na kuangamiza maisha yako......
Kaa kwenye mstari ulionyooka wa maisha yako na ndio hapo utakapopata marafiki wa kweli watakaokuwa na faida kwenye ndoa yako na maisha yako kwa ujumla......