Nimepoteza kitu muhimu:............

Nimepoteza kitu muhimu:............

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari zenu wana JF mimi ni kijana niliepoteza muelekeo ktk maisha yangu nikiwa na huzuni na dimbi la mawazo kwa kua maisha yamekua magumu zaidi ya sana kiupande wangu km ni mtihani basi nishashindwa kuufanya.
Kama ni vita basi narudi nyuma kwa kukosa silaha ya kupigana na adui huyu huku nikiangalia kua familia kubwa ya kifukara inaniangalia mm ndio mtunzaji familia ya watu 8 nimezunguka kadiri ya uwezo kuangalia kibarua inashindika tumaini langu lililobaki ni kwa watanzania na mungu pekee.
Mm ni kijana wa miaka 28 elimu yangu ni "O" level ambaye ninafani nyingi ambazo kwa sasa hazinisaidii
1 ufundi wa computer
2 sofa set duseiner
3 driver
Fani hizo ndizo zilizokua zinaiendesha familia

Kwa mtanzania yoyote anaehisi ana moyo wa kunisaidia naomba anisaidie kazi ya aina yoyote na kutoka sehemu yoyote niko tayari kuifanya

Drivig linsece yanga ina class B,A,D na C


Nakuombeni watanzania na mungu akupeni wepesi wa kunisaidia hata kiushauri
 
Kila la kheri kaka, Mungu yupo anasikia maombi yako
 
Ungeomba kazi UD,ningekusimamia. Lakini,ni-PM mawasiliano yako tuangalie linalowezekana
 
usikate tamaa mungu yupo kwani kila mwanadam anamatatizo yake na usikufuru bado unanguvu ,akili na uwezo ukivitumia hivyo utafanikiwa.
 
omba hata kuendesha daladala kwanza wakati unajipanga
 
me mwenyewe njaa 2pu.ila pole sana ndo maisha.god akutangulie.
 
Yaani nipo tayari kuendesha daladala ila sijaipata nikiipata nipo tayari
 
Back
Top Bottom