Nimepoteza cheti...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepoteza cheti...!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tindikalikali, Aug 10, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wadau? Nimepoteza cheti cha kuzaliwa ambacho nilikipata huko Mbeya. Kwa sasa nipo DSM, Naomba yeyote anayejua utaratibu wa kupata kingine anijulishe.
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nenda pale Rita (panda basi la Muhimbili, kisha ulizia hata kwa makonda wata kuelekeza), uende na kitambulisho cha kupiga kura.
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nashukuru, vipi inahitaji kuripoti polisi?
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuripoti polisi lazima. Andaa kiasi fulani kama kawaida, cha kupata doc. ya polisi. Nenda msimbazi ndo wako fasta
   
Loading...