Nenda police (vizuri kama una no ya cheti original najua utaulizwa) baada ya hapo nenda shule ulikosoma utapewa barua itakayokuwa na no ya cheti, then utaenda kutangaza kwenye gazeti ya serikali (mzalendo 20,000 & dailynewz 27,000 baada ya tangazo kutoka toa nakala na upeleke vyoe(police loss report,barua na tangazo) watatoa statements of reselts na si cheti.