Shukrani mkuu vipi kuhusu mda wa kuipata1. Kwani kuna mtu anajua password?
2. Una App ya CRDB? Unaweza ku-deactivate card.
3. Pia unaweza kupiga simu customer service wakaifungia kama unawasiwasi.
4. Kupata rahisi, tembelea tawi la CRDB lililojirani na ww wakupe muelekezo.
Kabla ya kwenda Crdb bank kwanza pitia polisi ukapate loss report.Shukrani mkuu vipi kuhusu mda wa kuipata
Hakuna tatizo,nenda tawi jirani kaonbe nyingineHabari wakuu
Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..
Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?
Msaada nimevurugwaaa hapa
Ukipoteza card yako, wanakulipisha kupata mpya. Niliwahi poteza around 2014 huko na nikalipa 20k kupata mpya.Habari wakuu
Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB ,nimepoteza ,na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..
Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya ,inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?
Msaada nimevurugwaaa hapa
Na CVV.. atatumia mara moja tu huyo mwizi,, ukiona muamala huuelewi si unaenda bankpiga huduma kwa wateja kuifunga, inaweza kutumika online bila hata password
Wiki 2Shukrani mtaalam vipi inachukua mda gani mpaka kupewa card nyingine
Omba kupitia simbanking,utachagua tawi la karibu utakalochukua card yako..ndani ya wiki moja tayari,makato ya kadi utayaona utakapochagua kadi unayoitaka.Habari wakuu
Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB, nimepoteza, na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..
Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya, inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?
Msaada nimevurugwaaa hapa
Hizi local bank zina shida sana, kinachofanya card isubiri wiki 2 ni kip? Equity bank ni instantly tu unaondoka na kadi yako!Wiki 2
1. Block ATM card thru simbaking App,Kabla ya kwenda Crdb bank kwanza pitia polisi ukapate loss report.
Saiz kuna huduma za cardless kwahiyo si muhimu lakini nimeona kwenye hii app ya crdb huduma zimeboreshwa unaweza kuomba card yako huko kwenye app then utapewa maelekezo ya kufataHabari wakuu
Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB, nimepoteza, na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..
Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya, inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?
Msaada nimevurugwaaa hapa
Hata hili la kujisajil sim banking hadi crdb 😎Nenda CRDB wambie wakusajili na Sim banking baada ya hapo omba kadi. Hapo itakuchukua kama 30min
Kwa vile hana kadi lazima afike tawi laa CRDB lililo jirani nayeHata hili la kujisajil sim banking hadi crdb 😎
NBC ni hapo hapo tu wanafunga ya zamani wanakupa mpyaHizi local bank zina shida sana, kinachofanya card isubiri wiki 2 ni kip? Equity bank ni instantly tu unaondoka na kadi yako!