Nimepoteza card ya ATM ya CRDB msaada wataalam

Nimepoteza card ya ATM ya CRDB msaada wataalam

Shukrani mtaalam vipi inachukua mda gani mpaka kupewa card nyingine

Kadi inachukua kama wiki moja kuipata na hiyo hela ya card hulipi cash, wanakata huko kwenye card.
Kama ina hela nyingi piga huduma kwa wateja waisitishe kwa muda huku wakikusubiria uende Bank.

Muhimu uwahi Bank kesho asubuhi kusitisha, hiyo polisi report unaweza kutengeneza hapo kwenye simu ukapita tu polisi kupitishiwa nafikiri siku hizi ni bure ila ukienda huko kwa wakala kutengenewa nafikiri ni shs elf mbili.
 
Shukrani sana mkuu🙏. Umenipa mwanga
 
Kupata unaenda polisi unapewa loss report alafu unaenda nayo bank wanakukta 15k kwenye account wanakupa kadi mpya
 
Habari wakuu

Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB, nimepoteza, na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..

Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya, inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?

Msaada nimevurugwaaa hapa
Tumia sim bank mpaka muda wa exp date yake ufike upewe mpya au fatautaratibu Toa mkwanjwa upewe mpya .
 
Fuata ushauri wa wadau hapo juu, pitia polisi kisha nenda benki husika na 20k mfuko wa shati.
 
Back
Top Bottom