Nenda kwa mkuu wa kituo umwelezee hiyo issue utarudishiwa
Nakubaliana na wewe. Hata mimi sina risiti ya simu hii. Nenda kwa mkuu wa kituo na waanze kukuthibitishia kuwa simu ni ya wizi. Na alieibiwa aje kituoni muanze kuangalia serial # za simu nk. Huu ni uonevu.
Hao ndio polisi wetu hao....
Ocs ndio nani na anapatikana wapi..eleza kwa urefu kidogo mkuu sio wote tunaojua ivo vyeo.. asanteNenda kwa ocs ukifika mueleze a to z utaipata sim yako pia usipaniki kabisa
Muwage mnajisomea na nyie Mara kwa Mara, mambo ya kushinda kwenye facebook, whatsapp, sijui nstgram na nini vile haijengi uelewa hata wa mambo madogo madogo tu! Sasa elimu mpaka chuo kikuu bado hujui OCS ni nani? Huyo ni Mkuu wa kituo ni kifupi cha Officer Commanding Station, mwingine anaitwa OC-CID (Officer Commanding CID), OCD (Officer Commanding District). Hivi vitakusaidia siku nyingine!Ocs ndio nani na anapatikana wapi..eleza kwa urefu kidogo mkuu sio wote tunaojua ivo vyeo.. asante
Tunashukuru mungu wewe umesoma..mungu akubariki sana. Na wanaosoma wanakuwa sio wachoyo kuwapa wenzao elimu kama wewe vile. Sawa mkuu nitajitahidi kusoma na kujua vyeo vyote vya jeshi la polisi.Muwage mnajisomea na nyie Mara kwa Mara, mambo ya kushinda kwenye facebook, whatsapp, sijui nstgram na nini vile haijengi uelewa hata wa mambo madogo madogo tu! Sasa elimu mpaka chuo kikuu bado hujui OCS ni nani? Huyo ni Mkuu wa kituo ni kifupi cha Officer Commanding Station, mwingine anaitwa OC-CID (Officer Commanding CID), OCD (Officer Commanding District). Hivi vitakusaidia siku nyingine!
Hiyo sentensi yako ya kwanza kabisa ndio iliyomgharimu jamaa.Halafu huwa wanaangalia sura za kusumbua. Polisi akikustopisha ukawa calm tu ukamsalimia na kumtolea macho, anasema nenda. Haulizii hata leseni. Aisee siwapendi polisi manake huwa waonevu mno!
hiki kipengele na hiyo ID yako navuta picha nini kinafuataUsipopata msaada ni PM.
Ninaimani jeshi la polisi, halikuwafundisha askari wake kufanya vitendo vyovyote vile vya uonevu kwa raia, hiyo ni tabia mbaya ya huyo askari.