Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
Muwage mnajisomea na nyie Mara kwa Mara, mambo ya kushinda kwenye facebook, whatsapp, sijui nstgram na nini vile haijengi uelewa hata wa mambo madogo madogo tu! Sasa elimu mpaka chuo kikuu bado hujui OCS ni nani? Huyo ni Mkuu wa kituo ni kifupi cha Officer Commanding Station, mwingine anaitwa OC-CID (Officer Commanding CID), OCD (Officer Commanding District). Hivi vitakusaidia siku nyingine!
1.kwan Husiposhnda FB,Instragram na twitter ndo unakuwa Jiniaz?
2.kujua kirefu cha hizo herufi sio ishara ya kuwa mwerevu na kusoma sana mpaka chuo, hata usome mpaka vyuo vya sayari zote bado kuna mambo utasubiri wajuzi waanze!!
NB:Mtoa mada hajazungumzia level yake ya elim kama ni chuo au la!
Jigo