Nimepokea SMS hii nifanyeje?

Mfa maji huyo..........................
 
soma vzuri, uhusiano ulianza november mwakajana uliisha june 2014

hebu kuwa wazi je ulimuingilia nyama tunyama????? na hiyo November mlianza kugegedana au kama vipi subiri ajifungue tu ukapime dna japo siku hizi gea nyingi za madada wa mjini ni kubambikia watu mimba stuka kua makini.
 
nilikuwa na2mia soksi,,but thanx kwa ushaur wako
 
Huyoooooo ni chaguo lakooooo..!
 
2013, mwanafunzi wa kidato cha nne, demu wako, mimba, mwalimu wake...najaribu kuunganisha matukio nione kama mtoto wangu nimpeleke shule au nimfundishe mwenyewe!
Blaza, Kama ulichoandika hapa kinaakisi mawazo yako halisi.
Hukupaswi kuishi nasi sasa labda stahiki yako ilikuwa kuishi karne ya 16.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…