Niliingia ktk mahusiano na dada mmoja mwishon mwa november 2013 Baada ya yeye kumalza kdato cha nne,tulipendana sana naye alitokea kunpenda,,
Mwanzon mwa mwez wa 6 nikaamua kuachana nae kutokana na tabia yake kubadilika ghafla pia alianzisha uhusiano na mwalimu wake aliyemfundisha a_level,,.tangu mwez wa 6 hadi mwezi huu cjawah kuwasiliana nae.
Leo asubuhi nimepokea sms imeandikwa hivi TABU NINAYOPATA MIMI KAMA KWELI MI NIKAJIFUNGUA SALAMA WE JIANDAE KWENDA GEREZANI, NIMEVUMILIA SANA HADI SIKU YA LEO NINA UCHUNGU SANA,NILIKUWA NAKUFICHA LKN CJAZIONA FADHILA ZAKO Ushauri wako ni muhimu nianze wap niishie wap ili mambo yawe sawa maana haya ni majanga

kwani hiyo simu yako haina sehemu ya kudilitia meseji?
haha ndo dawa ....
2013, mwanafunzi wa kidato cha nne, demu wako, mimba, mwalimu wake...najaribu kuunganisha matukio nione kama mtoto wangu nimpeleke shule au nimfundishe mwenyewe!
Baada ya kufanya sperm
donation ukakimbia,sasa unayaona majanga?kayaanzie pale pale ulipoishia
responsibly!
mkuu we mwambie "UMEKOSEA NAMBA"