Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

So inamaana shipping anasimamia Supplier ??, Hizi bidhaa zangu kwenye shipping ilikua wao aliexpress standard shipping
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Usije kujaribu kulipia maana mara nyingi huko Ali au ebay au popote watakutumia mzigo wako kweli tatizo ukishaingizwa bongo wanaopokea ili kukufikishia (posta, dhl n.k) wao wakishajua ni mzigo wa thamani lazima waupige maana wanajua kabisa hauna namna ya kuwajua au ukifuatilia utachoka tu mwenyewe na kuachana nao.

Mimi nina experience na eBay. Nilikuwa naagiza vitu vya hovyo hovyo napata siku nilikuja jichanganya nikaagiza power tool set. Hapo ndio nikaja kujua kuwa sijui.
 
Nadhani kwa vitu vyenye thaman kubwa ni safe kutumia hawa agents wa kuagiza mizigo wenye ofis zao hapa tanzania unaongea nae bei wanakuletea mzigo na wao ndo wanasimamia kila kitu mpaka mzigo ukufikie
 
Umezunguka mnoo, ukihitaji msaada tafuta tukusaidie. Flash sio ya kuchukua miezi miwili njiani na unakuja kuandikia uzi. Na hiyo njia yako ya ulipaji wa pesa sio nzuri, hapo kuna makato hujatwambia.
 
Umezunguka mnoo, ukihitaji msaada tafuta tukusaidie. Flash sio ya kuchukua miezi miwili njiani na unakuja kuandikia uzi. Na hiyo njia yako ya ulipaji wa pesa sio nzuri, hapo kuna makato hujatwambia.
Mkuu njia yako ya kujitangazia biashara yako haiko proper kuwa humble sio kujifanya mjuaji kiasi hiko, weka thread na ujuaji wako
 
Nmejaribu kuangalia kwenye laptop shipping fee zao kubwa sana yaani, kwa mfano pia nmetafuta HeatPress ya 5 in 1, machine ambayo wao wanauza $120 tu ila Shipping fee naambia $250 ukijumlasha hapo $350
Mkuu alibaba / ebay / aliexpress zote ni platform za kuwaunganishwa wauzaji na wanunuzi..., sasa hapo transport ni third party hapo mzigo wako itabidi upelekwe either Postal Offices (cheaper ila inachukua muda) au Door to Door Courier (ambazo ni gharama mfano DHL, TNT UPS n.k.) na bei ya usafirishaji inategemea uzito au volume (whichever is bigger) ni kama wewe ukisafirisha bahasha kwenye basi ni tofauti na anayesafirisha gunia....

Kinachofanyika mzigo ukiwa mkubwa sana unatumia Air Courier na kama ni mkubwa zaidi unatumia Sea Shipment (this is the cheapest)

Ila hizi electronics
 
Sitangazi biashara hapa, kama ingekua hivyo ungeona nimefungua uzi hapo.
By the way, nmeweka uzi kushare experience yangu katika online shoping kwenye Aliexpress kwa mara kwanza na kuhusu njia ya payment mm sio mjinga kias hko hyo ni akaunt nlofungua kwa ajil ya kulipia vtu online naweka pesa kwa ishu maalum kama nahtaj kulipia sio ya kutunza pesa au ya biashara. Nishawahi agiza Kikuu wao wapo fasta kuliko Aliexpress.
 
Asnte kwa ufafanuzi, Nmekuelewa mkuu, so wao wasafirishaji wanacharge kutokana na uzito wa mzigo,
 
Asnte kwa ufafanuzi, Nmekuelewa mkuu, so wao wasafirishaji wanacharge kutokana na uzito wa mzigo,
Naam Uzito au Ukubwa chochote ambacho ni kikubwa..., ukisafirisha gunia la manyonya ambalo sio zito ila ni kubwa watachukua volume.., ila ukisafirisha vyuma ambavyo ujazo ni mdogo ila uzito mkubwa watachukua uzito

Hii kitu kinaitwa Volumetric Weight
 
Asnte Mkuu kwa ufafanuzi nazidi kujua mambo kuhusu hizi ishu
 
Hongera,hata mimi nimewahi kuagiza mzigo mara moja kupitia Aliexpress,sikupata usumbufu wowote na ulikuja mpaka posta wakanipigia simu nikaupata ukiwa kamili,ilikuwa ni bluetooth speaker...
 
Mrejesho mzuri
 
Unaweza tumia sanduku LA posts LA mtu mzigo ukifika wanapiga namba zilizo juu ya parcel?
 
Uzi mzuri mkuu umenimotivate na Mimi kuagiza hebu nielezee vizuri hapo kwenye sanduku la posta, ulikua na anuani yako yaposta personally (p.o box) au vipi? Sijaelewa hapo uliposema uliweka anuani ya posta ya morogoro.
 
Kwahiyo ilipotea? Na hujapata paka leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…