Nimepitiliza kituo kwa ajili ya demu...

Nimepitiliza kituo kwa ajili ya demu...

Usikute demu anakwenda Kishiri[emoji3][emoji3][emoji3]
Utasanda

Sent using my Nokia Torch
 
Tuna maajabu sana likija suala hili la dem.
Hata Tyson alikodisha ndege private ili kumfuata dem mji mwingine
Hapo tofauti ni mkwanja tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Aiseee!!.. Pole sana mkuu

Vipi demu anaeleweka lakini?

Na umemwambia kuwa umepitilizwa kituo cha kushukia kwa ajili yake?

Au anajua mpo safari moja na mnashukia kituo kimoja?

Usikute hata hujaongea nae lolote unamwangalia tu

"Enough of No Love"
 
Back
Top Bottom