Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

Joined
Jun 10, 2014
Posts
18
Reaction score
3
Habari wana JF wenzangu,

Nimehitimu kozi ya uandishi wa habari na mawasiliano, nahitaji msaada japo wa idea ya where i can get a job au hata kama kuna nafasi ya kazi mnaifahamu juu ya haya mambo.

Yote kwa yote hata kama ni kazi yoyote ya social science ambayo haihusiani na nilichosomea naweza kuipata nijulshen.

Asanteni wote!
 
Nikushauri tu kwamba ni bora utafute experience kwa PR companies na si kudhalilika kwenye media house nyingi za bongo zenye manyanyaso na dharau kwa wafanyakazi!

Niko kwa media muda mrefu kidogo..naelewa na namaanisha nachokisema! Kila la heri!
 
Hivi ni kwanini media house zinakua hivi?wananyanyasa rushwa ya ngono,dharau

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mimi hata Siena elimu kabisaaaa lakini naona hari ni ngum kila sehem na kwa nyinyi ndio kwanza mnamaliza xhuo uzoefu hakuna duh. Ushauri.

Fungua blog kwa kutumia xm yako pigapixha matukio copy na kupest habari omba kufanya Kazi bure huku ukijifunza na kujua udhaifu wao onyesha vitu vipya kiutendaji ishughulikie blog yako kwa kupost habar kila siku au kila baada ya Massa utapata matangaZo baadae dili la kudum kama website Kazi n.k
 
Anza kwa kuwa freelancer na kuuza news zako kwenye media.
 
Kuna watu walikuja last week humu wanatafuta journalists jaribu kutafuta post za last week.

Am a journalist kitaaluma ila sipo kwenye media.
 
ulisoma chuo gan? na unalevel gan ya elm? nakushaur anzisha biashara ya chips utatoka mm nilifanya hiv baada ya kufanyakaz kwnye media na kuambulia mshahara kiduchu na matus na elim yangu ya media. Biashara il nitoa nikaenda kusoma PGED na ss nimeajiliwa gvmt na biashara
ya chips naendelea kufanya maana wahenga walisema usizarau ulkotoa.
 
Ahsanteni kwa ushaur wenu mzur wote mlionishauri,mungu awabarik wote mmenishaur vzuri Super Handsome ht iyo pr naipenda sana mungu akinijalia ntajarbu upand huo
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni kwa ushaur wenu mzur wote mlionishauri,mungu awabarik wote mmenishaur vzuri Super Handsome ht iyo pr naipenda sana mungu akinijalia ntajarbu upand huo

Ingia facebook kuna groups la Saut old scholars,soma hiyo groups kuna watu wa masscom wanahitajika huko,kuna mtu kapost!!
 
Last edited by a moderator:
nimesoma kozi kama yako na nimetafuta kazi zaid ya miaka mitatu nimepata tena pakujitolea.... Muombe mungu atakusaidia
 
mimi sina kazi ya kukupa, ila naweza kukupa direction, kama upo dar, panda gari la kawe, shuka kituo cha malingo, baada ya hapo utaona gorofa kubwa limendikwa INFOTCH PLACE, gorfa linalofuata, kuna redio inayoitwa E.FM, panda hadi gorofa ya nne, ukifika muulize jamaa mmoja anaitwa sijui nani, ila ni albino, mpe cv yako, na unaweza ukafanya demo hapo, wakikukubali unaweza ukapata nafasi ya kutangaza, huo ndio mchango wangu mkuu, kwa maelezo zaid 0757 950376. tuma sm
 
Asante sana tembo ngoja nkutafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom