Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

Nimepitia kozi ya Journalism and Mass Comunication, natafuta kazi

mimi sina kazi ya kukupa, ila naweza kukupa direction, kama upo dar, panda gari la kawe, shuka kituo cha malingo, baada ya hapo utaona gorofa kubwa limendikwa INFOTCH PLACE, gorfa linalofuata, kuna redio inayoitwa E.FM, panda hadi gorofa ya nne, ukifika muulize jamaa mmoja anaitwa sijui nani, ila ni albino, mpe cv yako, na unaweza ukafanya demo hapo, wakikukubali unaweza ukapata nafasi ya kutangaza, huo ndio mchango wangu mkuu, kwa maelezo zaid 0757 950376. tuma sm
Hata nami umenisaidia mkuu naomba nikutafute nami.
 
Jamani Nina shida ya kaz mwenzenu
Maisha magumu
Nisaidieni kaz yyote halali

Kazi ni ngumu mno kupata ila kwa mda u unasubiri unaeweza kujishuhurisha na kitu angalau upate ela kuliko kukaa bila chochote kuna biashara zingne aziitaji mtaji mkubwa sana unaanza uku ukisubiri mambo mengne.
 
Pole sana ila mi mwenyewe niliandika uzi kama huu na watu wengi walinibeza na elimu yangu ya form 4 ila mungu ndio muweza wa yote nimepata kazi na nalipwa 350 hivyo nazichanga ili nikaongeze elimu....pole sana mkuu wapo wenye moyo wa imani watakusaidia huu ndio mchango wangu kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom