Gaupixbrandtz
Member
- May 12, 2023
- 6
- 15
Picha ina trend sana hii. Ni nani huyu huko daslam?
huyu mtoto anayaweza sana 😊
Kwa hiyo huyo ndo fundi mkuu huko mjini?huyu mtoto anayaweza sana 😊
Huyu si ndo yule mwanafunzi wa Pandahill Sec Mbeya aliyepotea nakupatikana kwenye geto la muuza mkaa baada ya mwezi?🤔🙌huyu mtoto anayaweza sana 😊
nimesema tuKwa hiyo huyo ndo fundi mkuu huko mjini?
ndo huyo huyo, ila watoto wa kizazi hiki ni noma wanatukosanisha sana na wake zetu.Huyu si ndo yule mwanafunzi wa Pandahill Sec Mbeya aliyepotea nakuoatikana kwenye geto la muuza mkaa baada ya mwezi?🤔🙌
Alafu wanaweza sema alishawishiwa kumbe yeye mwenyewe kaupenda mkuyenge mapema kuliko elimu. Maana hakufungiwa, mwamba anaondoka na kurudi jioni nakukuta keshaandaliwa chakula cha mchana, jioni na cha usiku kupunguza uchovu wa kubeba mkaa siku nzima🤣🤣🤣ndo huyo huyo, ila watoto wa kizazi hiki ni noma wanatukosanisha sana na wake zetu.
hapo ni hakuna wa kumlaumu kaliyataka mwenyewe.Alafu wanaweza sema alishawishiwa kumbe yeye mwenyewe kaupenda mkuyenge mapema kuliko elimu. Maana hakufungiwa, mwamba anaondoka na kurudi jioni nakukuta keshaandaliwa chakula cha mchana, jioni na cha usiku kupunguza uchovu wa kubeba mkaa siku nzima🤣🤣🤣
Mama mwenye nyumba hana smartphone kujua kinachoendelea kwenye vyombo vya habari, akijua muuza mkaa anatafuta chumba aanze maisha na mkewe🤣🙌
Nani wa kumlaumu?🤣🤣🤣🤣
Halafu ukakimbia! Cha,unamfahamu Mendy?Wazee habari zenu,
Kwanza juzi kwenye kusaka harakat za kupeleka mizigo bhna nilipata mteja yupo river side ubungo sasa nimetoka kariakoo nikafika had pale na boda nimetulia napiga simu inatumika mara inajikata khe si nikashuka nikasogea hadi sheri pale kupiga simu huku boda iko pembeni.
Mara si nikamuona mdada kavaa nguo fupi kaja nilipo Mkali [emoji3][emoji3][emoji3] mara ooho mambo shemeji nikamjibu poa vipi nakusikiliza nikamwambia kuna ishu nimekuja kufanya akasema poa khe kugeuka hv naona kundi la wadada kibao yaani kila rangi, kila umbo ukitaka mwembamba,mnene wewe tu nikajisema kimoyo moyo kweli watu wanafaidi mi uyo nikasepa zangu [emoji3]
Mtoto wa Iringo ,upo!nimesema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu bhanaKwa hiyo huyo ndo fundi mkuu huko mjini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimechekaa km mwenda wazimu, watu mna maneno nyie, khaaahAlafu wanaweza sema alishawishiwa kumbe yeye mwenyewe kaupenda mkuyenge mapema kuliko elimu. Maana hakufungiwa, mwamba anaondoka na kurudi jioni nakukuta keshaandaliwa chakula cha mchana, jioni na cha usiku kupunguza uchovu wa kubeba mkaa siku nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mwenye nyumba hana smartphone kujua kinachoendelea kwenye vyombo vya habari, akijua muuza mkaa anatafuta chumba aanze maisha na mkewe[emoji1787][emoji119]
Nani wa kumlaumu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha haya mambo lazima tuyaangazie katika corners mbalimbali sweetheart. Ila hapa We were just making some jockes tu😃😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimechekaa km mwenda wazimu, watu mna maneno nyie, khaaah
Yaan nyie watu mna nivunja mbavuu mnoo.Hahaha haya mambo lazima tuyaangazie katika corners mbalimbali sweetheart. Ila hapa We were just making some jockes tu[emoji2][emoji2]
Hahaha kawaida tu. Wanafunzi wa Pandahill ukiwauliza mnasoma wapi wanakujibu "Tunasoma Ester Jose"🤣🤣Yaan nyie watu mna nivunja mbavuu mnoo.