Nimepita MPWAYUNGU Village

Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,196
2,151
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.

Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which explains attitude ya Mpwayungu Village

Lakini nimeshindwa ku establish link kati kijiji hicho na chuki kwa walimu anayoonesha [mention]mpwayungu village [/mention]

IMG_1429.jpg

IMG_1429.jpg
 
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.

Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which explains attitude ya [mention]mpwayungu village [/mention]

Lakini nimeshindwa ku establish link kati kijiji hicho na chuki kwa walimu anayoonesha [mention]mpwayungu village [/mention] View attachment 2732661
View attachment 2732662

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusubiri Mpwayungu Village alete mrejesho
 
Na hicho kibao atakuwa alikichora huyohuyo Mpwayungu Village
 
Humu jamii forum inaweza kumuona mtu ni Tajiri kumbe yakupasa kumsikitikia!
Mimi nilipokuwa nasoma makala za " Blai" mpwayungu nilijua wazi kuwa huyu anatoka maeneo duni sana ila anataka kuonesha kwamba ana mambo safi!!
Ukisoma mada zake unashangaa kabisa inaonekana kaja Dar miaka Saba iliyopita !!
Hakika ni limbukeni aliyejificha jamii forum
 
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.

Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which explains attitude ya Mpwayungu Village

Lakini nimeshindwa ku establish link kati kijiji hicho na chuki kwa walimu anayoonesha [mention]mpwayungu village [/mention] View attachment 2732661
View attachment 2732662
Mimi huwa nabishi sana na hoja zenu za kusema sehemu flani ni pabaya wakati sehemu hiyo kuna watu wanaishi na ni kwao.
Pangelikuwa ni pabaya wangelikwisha kuhama na kijiji hicho kisingekikuwepo.
 
Humu jamii forum inaweza kumuona mtu ni Tajiri kumbe yakupasa kumsikitikia!
Mimi nilipokuwa nasoma makala za " Blai" mpwayungu nilijua wazi kuwa huyu anatoka maeneo duni sana ila anataka kuonesha kwamba ana mambo safi!!
Ukisoma mada zake unashangaa kabisa inaonekana kaja Dar miaka Saba iliyopita !!
Hakika ni limbukeni aliyejificha jamii forum
Hivi ni mtu wa kujigamba???
 
JamiiForums-1233605711_080151.jpeg

Hajajificha.
 
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.

Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which explains attitude ya Mpwayungu Village

Lakini nimeshindwa ku establish link kati kijiji hicho na chuki kwa walimu anayoonesha [mention]mpwayungu village [/mention] View attachment 2732661
View attachment 2732662
Vumbi kali sana huko kipindi cha kiangazi.
 
Back
Top Bottom