Nimepita first round kumbe sijachaguliwa

Nimepita first round kumbe sijachaguliwa

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Habari wadau, mimi nilipita katika first round nikapata NIT mech but majina yanakuja kutoka waliokuwa addmitted mimi simo mpaka sasa hivi third batch bado simo, ni nini hii? Naomba namba za TCU mwenye nazo!
 
Habr wadau,mi nilipita ktk first round nikapata nit mech bt majina yanakuja kutoka walio addmitted mi cmo mpaka saiv third bach bado cmo,ni nn hii? Naomba no za tcu mwenye nazo

kwani NIT wametoa hadi third batch tayar?
 
Yeah,waliandika second and third round,
 
Nit wametoa 2nd na 3rd batch? Lini? Hebu nifahamishen vzr khs hilo duu
 
Habr wadau,mi nilipita ktk first round nikapata nit mech bt majina yanakuja kutoka walio addmitted mi cmo mpaka saiv third bach bado cmo,ni nn hii? Naomba no za tcu mwenye nazo

Nchek Nkutumie..0759859732
 
Back
Top Bottom