malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,919
- 4,709
Msaada wenunimepimwa nimkutwa nna multnoduler goiter na hormones t3 iko high
Pole,Msaada wenunimepimwa nimkutwa nna multnoduler goiter na hormones t3 iko high
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kipimo Zaid Kama ninPole,
Kulingana na dalili zako ulizonazo, daktari atafanya maamuzi kwa kukuelewesha ni nini ugonjwa wako na options zilizopo, baada ya utafiti wa kuangalia ni nini chanzo hasa:
1. Dawa tu na ufuatiliaji
2: Dawa ikiunganishwa na upasuaji
Hiyo ni overactive thyroid/either ni tissue za thyroid au hizo nodule(thyrotoxicosis).
Nategemea kuna vipimo zaidi vitaendelea ili kujua chanzo na aina ya T3 (free vs bound).
Maana nimeamibiwa pia nifanye kipimo Cha FNAC- thyroidPole,
Kulingana na dalili zako ulizonazo, daktari atafanya maamuzi kwa kukuelewesha ni nini ugonjwa wako na options zilizopo, baada ya utafiti wa kuangalia ni nini chanzo hasa:
1. Dawa tu na ufuatiliaji
2: Dawa ikiunganishwa na upasuaji
Hiyo ni overactive thyroid/either ni tissue za thyroid au hizo nodule(thyrotoxicosis).
Nategemea kuna vipimo zaidi vitaendelea ili kujua chanzo na aina ya T3 (free vs bound).
Nimeandikwa carbimazole na propranalolSi umepewa na dawa?, tumia dawa ulizopewa na wataalamu....
Mkuu hii overactive inachangiwa na ninPole,
Kulingana na dalili zako ulizonazo, daktari atafanya maamuzi kwa kukuelewesha ni nini ugonjwa wako na options zilizopo, baada ya utafiti wa kuangalia ni nini chanzo hasa:
1. Dawa tu na ufuatiliaji
2: Dawa ikiunganishwa na upasuaji
Hiyo ni overactive thyroid/either ni tissue za thyroid au hizo nodule(thyrotoxicosis).
Nategemea kuna vipimo zaidi vitaendelea ili kujua chanzo na aina ya T3 (free vs bound).
Tumia hizo, hao wataalamu wanajua zaidi
Ndiyo, FNA ni kuangalia asili ya hivyo vivimbe.Maana nimeamibiwa pia nifanye kipimo Cha FNAC- thyroid
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hii inaweza kutokana na:
Tiba yake ni nin ya hii overactiveHii inaweza kutokana na:
1:seli za tezi zenyewe
2: vivimbe vilivyopo
3: amri inayotoka kwenye tezi lingine linalosimamia tezi husika.
Ndo maana hutakiwa kupima: TSH, T4 na T3. Majibu yake huelezea msingi wa chanzo.
Maana mimmsingi wa chanzo imeonekana t3 iko highHii inaweza kutokana na:
1:seli za tezi zenyewe
2: vivimbe vilivyopo
3: amri inayotoka kwenye tezi lingine linalosimamia tezi husika.
Ndo maana hutakiwa kupima: TSH, T4 na T3. Majibu yake huelezea msingi wa chanzo.
1: Ultrasound
Hapo t3 bound na unbound ndo kukoje1: Ultrasound
2: FNA
3: Radioiodine uptake
4: TSHS
5: T4
6: T3 (Bound vs Unbound)
Haya yote hutegemea mgonjwa kwa mgonjwa.
Hapo imepimwa free (unbound) T3 tu.Hapo t3 bound na unbound ndo kukojeView attachment 2396653
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo hapo natakawa nipimwaje tenaHapo imepimwa free (unbound) T3 tu.
Ndo maana imeandikwa FT3
Haina haja kwa sasa endelea na dawa. Matokeo ya dawa ndo yatafanya upime zaidi kama matokeo hayatakuwa mazuri. Ukiendelea vyema hakuna haja.
Mkuu mim nakushukuru Sana kwa ushauri wa japo nimekua nikikusumbua kwa reply nyingi..nakuombea Sana mungu akupe afya njema naumri mrefu pia akuongezee rizki zaid na akukinge nakukulinda namahasidHaina haja kwa sasa endelea na dawa. Matokeo ya dawa ndo yatafanya upime zaidi kama matokeo hayatakuwa mazuri. Ukiendelea vyema hakuna haja.View attachment 2396787View attachment 2396781
Ni haki yako ya msingi.Mkuu mim nakushukuru Sana kwa ushauri wa japo nimekua nikikusumbua kwa reply nyingi..nakuombea Sana mungu akupe afya njema naumri mrefu pia akuongezee rizki zaid na akukinge nakukulinda namahasid
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app