malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,922
- 4,715
Habar wakuu nimiez7 sasa tangu nigundulike na tatizo la thyroids ambayo ilikua hyper ilikua nauvimbe umeanza upande wakulia multnoduler goiter nkatumia dawa carbimazole.
Mpaka kufikia february2023 vipimo vilionyesha hormones zimelevel still bado niko katika carbimazole. Sasa huu upende wakulia wenye uvimbe nakereka vi pain abnormally mara kwa mara.
Pia nakua na hali flani ya kuhisi nna kohozi ktk koo lisilotoka. Wakuu kwa yeyote aliewahi kupona goiter na thyroids hormones kuwa level.