Nimepima mara tatu UKIMWI

Nimepima mara tatu UKIMWI

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,017
Waungwana,

Nimepima UKIMWI hivi mara tata kwa miaka mitatu na nikawa sina maambukizikwa maana 2014, 2014mwishoni na mwezi huu wa nne 2015.

Hayo ni maneno aliyokuwa anasema mchumba wa rafiki yangu huku nasikia sasa nikapata shida inawezekana akawa mzima au ananiamba mimi ninao au vipimo vya HIV ni lazima miezi ifatane au na huyu kapima deffer area.

Na vipimo hivyo ni maeneo tafauti
 
waungwana nimepima ukimwi hiv mara tata kwa miaka mitatu na nikawa sina maambukizikwa maana 2014, 2014mwishoni na mwezi huu wa nne 2015.hayo ni maneno aliyokuwa anasema mchumba wa rafiki yangu huku nasikia sasa nikapata shida inawezekana akawa mzima au ananiamba mimi ninao au vipimo vya HIV ni lazima miezi ifatane au na huyu kapima deffer area.
Na vipimo hivyo ni maeneo tafauti

maelezo yako yanalenga nini wewe?
 
Kweli nimeamini
uwoga=umasikini + harakaharaka -kujiamini + presha ya kupima ngoma
 
Back
Top Bottom