Nimepima Hepatitis B niko positive

Yesu wangu.....hiyo hepatitis B ninavyouogopa yaani nshamkumbuka Fork ( member aliyekufa na huo uginjwa). Mzee fatilia kila wanalokwambia
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ningetamani watu wengi wasome huu uzi na comments zake,kuna elimu kubwa sana hapa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yako yote
Ocean road kinga ni kati ya 10000 mpk 15000 ni cheap kulinganisha na sehem zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sawa itabidi siku nikipata nafasi niende kujikinga.
Kiukweli nilikuwa siujui huu ugonjwa ndio nimeujulia hapa.
Miaka ya nyuma nilikuwa naona tu umeandikwa kwenye makaratasi ila sikuuchukulia maanani nikajua labda ni Kama maralia tu.
Kumbe ni kitu hatari hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jitahidi sana tena sana,sisi Watanzania magonjwa kama haya wengi wanaishi nao kwa kujua au kutojua....lkn kuna wengi hawapendi kuelezea ili kuwasaidia jamii .Namshukuru Mungu tangia nipime nimeelezea kwenye group ya wezangu nikawambia hali halisi kuhusu mimi nafrahi wamehitikia kupima na wameanza kupata chanjo nitasimamia hili swala hata nikitangulia lkn kuna wengine wamebadilika coz Watu wengine mpaka waone kwa wengine ndipo wanafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu wangu.....hiyo hepatitis B ninavyouogopa yaani nshamkumbuka Fork ( member aliyekufa na huo uginjwa). Mzee fatilia kila wanalokwambia

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
kweli mkuu,ni hatari sana lkn lazima nikubali uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tutaondoka kwa namna moja au nyingine. Tunashukuru kwa kushare nasi. Ila kabla hujaanza dawa nenda kapate 2nd and 3rd opinions. Upate ushauri wa kitaalamu unaojitosheleza ili unapoamua kufuata matibabu unakuwa una uelewa. Kila la kheri.
 
Sawa mkuu nimekupata,sema Kuna kitu kimoja Bado sijaelewa.
Njia kuu ya maambukizi ya huu ugonjwa ni ipi ili tuweke tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nimekupata,sema Kuna kitu kimoja Bado sijaelewa.
Njia kuu ya maambukizi ya huu ugonjwa ni ipi ili tuweke tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ungonjwa njia kuu ni ngono zembe ila unaambukizwa hata kwa jasho tu limegusana yaan maambukizi yake ni hatari zaidi ya HIV lkn watu wamezubaa wanawaza kupima HIV tu na kubanjuka wanasahau hii kitu

Cha kujiongezea hapo ni pamoja na kukisiana au kupigana denda ,kirusi cha HBV inachukua muda mrefu kufa ikiwa nje ya mwili kwa hiyo tahadhari inahitajika hata kwa damu lililokauka hata kwa siku saba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ungonjwa njia kuu ni ngono zembe ila unaambukizwa hata kwa jasho tu limegusana yaan maambukizi yake ni hatari zaidi ya HIV lkn watu wamezubaa wanawaza kupima HIV tu na kubanjuka wanasahau hii kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Asante Sana mkuu nazidi kupata mwangaza.
Na swali langu la mwisho ni je mtu anayeumwa huo ugonjwa unaweza kumtambua?yaani ana dalili zipi ukimuangalia kwa macho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri. Mzuri Sana, pia Erika kushibisha Sana tumbo ,Kula kidogokidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno haya mkuu kwanini wewe usituambie unachokijua ili tupime nani ni mweupe kichwani kumshambulia mtoa mada ten pernonal haukutenda haki dhidi yake.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…