Nimepima Hepatitis B niko positive

Woga umeshanishika tayari sikukuu ziishe niende kupima na kupata chanjo ya hepatis b
Kuhusu kulinda ini kunafanyikaje! Unazingatia vitu gani?
kweli mkuu, nenda ujapime ukapate chanjo,unaweza kutumia njia zote,kuzuia HIV ukapata HBV ,cha kushangaza Watanzania wengi hatuna.elimj kuhusu huu ugonjwa..nimewaza sana ndungu zangu waliopo kijijini.,wanaofanya kazi ngumu kma kuchanganya zege, mbanano kwenye mwendokasi na daladala mwisho wa siku ni kumwachie Mungu tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kweli nachanganyikiwa nifuate ipi...yani maisha yamekuwa mafupi sana ,unajinkinga na hili, nyingine linatokea ..ningepata aliyewahi kutumia haya madawa ,akapona ningepata mwanaga.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa upo sawa kweli?

Yaani ushauri wa online strangers ndo una utilia maanani kiasi cha kutaka kuacha ule uliopewa na professionals ambao una uhakika ni experts wa hiyo field.
 
Pole mkuu ushauri umepokea mwingi humu kubwa nenda hospitali kubwa kama muhimbili utapokea ushauri zaidi. Na Imani Mungu atakusaidia upone
 

Yaan hii hepatis b ni hatari zaidi ya ukimwi sema ni kweli wengi hatuna elimu na kupuuzia vitu hivi kunatugharimu
Bora kuwa na chanjo mazingira mengine hayo Mungu mwenywe atatulinda
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka kwa sauti eti vitini vya Nyambari Nyangwine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndo ushauri,usimeze kidonge ata kimoja bila kupima viral load,ili uweze kumeza ARV Lazma kuna idad ambayo virus wanatakiwa wafike,angalau 20,000

SO USIMEZE DAWA KABLA YAKUPINA VIRAL LOAD NA JITAHID UONANE NA SPECIALIST,,,,

NENDA REGENCY HOSPITAL J4 AU ALH SPECIALIST ANAKUEPO KUANZIA SA 10 JION NADHAN.

KUHUS KUPONA KUNA WATU WAMAPONA BAADA YAKUTUMIA DAWA 6 MONTH AND SO,SO ITS TRUE UNAWEZA KUPONA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulilinda kivp boss,embu fafanua
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…