mchokozi mpende
Member
- Sep 10, 2018
- 36
- 42
Nilichokiona leo kwenye salary increment...mama kanipiga na chuma zito hakika nyongeza 10
Mshahara umetoka?Nilichokiona leo kwenye salary increment...mama kanipiga na chuma zito hakika nyongeza 10
Duuu bora wewe nimekuta 7880 ela ya kvant ndogo.Nilichokiona leo kwenye salary increment...mama kanipiga na chuma zito hakika nyongeza 10
duuuDuuu bora wewe nimekuta 7880 ela ya kvant ndogo.
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.Amen
Umenikumbusha yule dada, natamani wakamhoji tena baada ya nyongezaMlivokuwa mnatutambia sasa....kuna yule karani aliyedai atamjengea babake nyumba....kwa vilio hivi labda amjengee nyumba ya milele.
Ila nyongeza imepambwa hii, Bora ingekuwa kimya kimyaMlivokuwa mnatutambia sasa....kuna yule karani aliyedai atamjengea babake nyumba....kwa vilio hivi labda amjengee nyumba ya milele.
Asee nchi ngumu hii🤣🤣Duuu bora wewe nimekuta 7880 ela ya kvant ndogo.
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.Amen
Mlivokuwa mnatutambia sasa....kuna yule karani aliyedai atamjengea babake nyumba....kwa vilio hivi labda amjengee nyumba ya milele.



Hasa hili la kuwang'oa wamasai ngorongoro litakalogharimu billion 700/-,ambalo ndio priority kwa Sasa !!Afadhali angewambia watumishi wa umma wasubiri kwanza mpaka miradi yote mikubwa ikamilike wangemuelewa kuliko hiyo nyongeza utopolo.