Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,638
- 33,857
Aah wapi,Kuna mmoja nampigia simu hata hapokei,akaja kunikatia simu,miezi miwili baadae ananipigia mamake anaumwa jino,anataka kung'oa,nimpe ten,[emoji23][emoji23][emoji23]ko humsaidii kisa umekosa ushirikiano.
mpe bwana then ataanza kuonesha ushirikiano tu
Nikampa akapokea na Asante ya kimkato Kama vile ni wajibu wangu kumpa hela.
Nikaona huyu atanichosha akili,nikamdelete moyoni