Nimepigwa mzinga

Nimepigwa mzinga

shida siyo kutuma since , nimepata mawasiliano nae tena , text hajibu kwa wakati text inakuwa delivered mda huu inajubiwa masaa 2. baadae , Angeonesha ushirikiano tangu day one wala hata nsingewaza ngemwekea20 ,

Wadada muwe mnaonyesha ushirikiano hata kama wakinafiki alafu ndo mnipige mi wala hata siwazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]ko humsaidii kisa umekosa ushirikiano.

mpe bwana then ataanza kuonesha ushirikiano tu
 
Yani wewe mkuu unaombwa elfu 10 unakuja kuripoti JF

Mungu tuhurumie sana wanaume wa kizazi hiki. Hivi kama huna si unasema hauna tu, kuna kesi gani kwani? Sasa mwanaume ukiombwa hela na mwanamke ukaja kulia mitandaoni hivi uanaume wako wa kuwa mtawala, muwezeshaji, kiongozi wao unakuwa wapi sasa?

Dogo kama unayo mpe na kama huna piga kimya acha kujichora na kumdhalilisha dada wa watu.
 
Mtu humtaki unamuomba hela ya nini kama siyo kuendekeza shida, angekukubali saizi mambo safi.

Sema kadanganyika na mtu hiyo wa China, na mkomeshe usimpe, pumbavu zake

Dada yangu ningekuwa na hela ningekupa, walau ww ndo umeelewa kwann wanaume tunalalamika kupigwa mizinga, shida sio kutoa hela, shida ni kuwa tukipigwa mzinga na mdada baada ya kutongoza, tunahisi kabisa kuwa hatupendwi, na tunatumika kipesa Aidanna
 
Yani wewe mkuu unaombwa elfu 10 unakuja kuripoti JF

Mungu tuhurumie sana wanaume wa kizazi hiki. Hivi kama huna si unasema hauna tu, kuna kesi gani kwani? Sasa mwanaume ukiomba hela na mwanamke ukaja kulia mitandaoni hivi uanaume wako wa kuwa mtawala, muwezeshaji, kiongozi wao unakuwa wapi sasa?

Dogo kama unayo mpe na kama huna piga kimya acha kujichora na kumdhalilisha dada wa watu.
samahani mkuu mimi ni mvulana , Alafu siyo kwamba sina baasi tuuu nimeamua au unataka nipige nazo picha , Tatizo mimi ni mvulana ,
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ko humsaidii kisa umekosa ushirikiano.

mpe bwana then ataanza kuonesha ushirikiano tu
hiyo hakunaga mkuu , Nijaze jaze tuu sasa nashangaa morning nyingi my ah nkajiuliza kunani , angekuja tuu streiti fowadi , kuwa nisaidie bila kujificha kwenye kichaka cha I lavu you mbona nsingewaza,
 
Back
Top Bottom