Nimepigwa mzinga

Nimepigwa mzinga

Dada yangu ningekuwa na hela ningekupa, walau ww ndo umeelewa kwann wanaume tunalalamika kupigwa mizinga, shida sio kutoa hela, shida ni kuwa tukipigwa mzinga na mdada baada ya kutongoza, tunahisi kabisa kuwa hatupendwi, na tunatumika kipesa Aidanna
Amwambie huyo wa China sasa, sema sometime na sisi akili zetu zinakwenda sayari ya Pluto huko ndy maana mnalalamika hapa tunataka nini wakati na sisi hatujui tunachokitaka😀😀😀😀😀😀😀
 
Yani wewe mkuu unaombwa elfu 10 unakuja kuripoti JF

Mungu tuhurumie sana wanaume wa kizazi hiki. Hivi kama huna si unasema hauna tu, kuna kesi gani kwani? Sasa mwanaume ukiombwa hela na mwanamke ukaja kulia mitandaoni hivi uanaume wako wa kuwa mtawala, muwezeshaji, kiongozi wao unakuwa wapi sasa?

Dogo kama unayo mpe na kama huna piga kimya acha kujichora na kumdhalilisha dada wa watu.
Nenda pm umtumie Hiyo hela kama unayo Sio unabweka hapa we mwenyewe ukiambiwa Tuma Hiyo hela huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu demu nlimtongoza enzi za pointio Pilato, Long time ago in Betilehemu, Sikumla , mambo yakawa mengi mambo yakawa mambo , next day nkapita hivi kiukweli ni almost 4 years now, Juzi nkagongana nae social media , kanipa no tukachekiana, Namchatisha hajibu sasa leo msg kibao morning ,How are you , Bebe,
umeamkaje
Nkajiuliza kuna nini Mara paap ntumie 10000 nko na shida nayo nitarudisha ooh sijui bebe wangu yupo china hatuwasiliani ikapanda ikashuka, sasa msg ya ntumie Hela sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23] ipo kwenye notification tuu inazubaaa .

Mtihani wa kutuma hela nlipata 0 ,hivi mna nini kina dada We tulia siku nikiifata Papunenga mbona utakula pesa mingi tuuView attachment 1308196
Mwambie aje geto...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom