Nimepigwa 'kibuti' na kuniblock

Nimepigwa 'kibuti' na kuniblock

Inaumiza sana kumbembeleza mtu kosà usilolijua daah
Inafikia time inabidi umchukulie mpenzi wako, mbembeleze halafu utamwambia kama hupendi akiwa ananuna nuna,na atakuelewe mwambie kwa mapenzi na bashasha...
 
Hiyo ni namna nyingine ya kukuambia chukua hamsini zako.
 
Inafikia time inabidi umchukulie mpenzi wako, mbembeleze halafu utamwambia kama hupendi akiwa ananuna nuna,na atakuelewe mwambie kwa mapenzi na bashasha...
kabisa ndugu.. ila sometimes inachosha mtu ananuna makusudi tu akijua fika utahangaika kumbembeleza. ila siku ukikasilika wewe anasema wanawake ndo zenu kukasilika hata kitu kidogo yaani mimi nachokaga daah
 
Kama ushamtindua sawa potezea, ila kama Bado wanakugongea wenzako wajaruo
 
Tatizo la watu wa Yanga ni wadhaifu sana kwenye mapenzi...angalia sasa unavyolia mwanaume mzima..khaa
 
Mpe muda. Asiporejea hesabu maumivu, anza upya.
 
Labda kakamatwa na msela wake, au kuna kitu mbaya umemfanyia unakificha ndiyo maana kachukua hatua km hiyo
 
Hivi mapenzi kwanini yanakuwa magumu hivi.. Mimi nimenuniwa bila sababu ya msingi wala secondary masaa mawili nabembeleza bila muafaka khaaaaaaaaà
Rudi nyuma,tulia hasira zikiisha atakutafuta mwenyewe km anakupenda.
 
Nimekua na MANZI kwa kipindi fulani,kilichotokea baada ya kuongea kwa dk kadhaa akaamua kuniblock kwenye FB,TWITTER na WHATAPP nataman nimbembeleze ila napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?

Nampenda ni masaa 36hrs. yamepita namiss sana alikua ananikeep busy kwa kweli.
Ni ngumu kujua yaliyonyuma ya upeo wa macho yako japo inakuuma unatakiwa kujua kuwa mabadiliko hayakwepeki kwenye maisha ya wanadamu so kama yamekuja ukubali japo yanauma na si wewe tu wengi yamewakuta. Pole sana kwani sijakufariji ila nimekuchoma sindano inayoponya.
 
Asante Streetguy
 
Dah.. mwaga kule, chapa lapa. Life is too short.. enjoy it [emoji4] [emoji481] [emoji481]
 
Nimekua na MANZI kwa kipindi fulani,kilichotokea baada ya kuongea kwa dk kadhaa akaamua kuniblock kwenye FB,TWITTER na WHATAPP nataman nimbembeleze ila napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?

Nampenda ni masaa 36hrs. yamepita namiss sana alikua ananikeep busy kwa kweli.
ilikuwa kama situation yako mkuu nikaisi akinimis atanitafuta inawezekana vip miaka mitatu ya kuwa pamoja naye itokee ata aiku moja asinimis nikatumain atanitafuta au nikimpa muda na nikimtafuta ataelewa lakn wap matusi tu huu mwaka wa nne kimya nisha move on .....nina mwingneeee[emoji443] [emoji445]
 
Du
 
Hahahahahh mkuu umetisha sana aisee umenifanya nitabasamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom