Nimepigwa 'kibuti' na kuniblock

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,215
Nimekua na MANZI kwa kipindi fulani,kilichotokea baada ya kuongea kwa dk kadhaa akaamua kuniblock kwenye FB,TWITTER na WHATAPP nataman nimbembeleze ila napata wakati mgumu na yuko nchi jirani hapo siwezi kupiga simu,

Swali je kwa nini aniblock ?

Nampenda ni masaa 36hrs. yamepita namiss sana alikua ananikeep busy kwa kweli.
 
Msiwache kabla hamjajua kama mnaweza bila kua nae au laa,ona sasa unalalamika mie ntakuelewa wengine watakuona sie..
 
kama juzi kati yule hakimu wa brazil alivowafungia kutumia watasap (zap zap) wabrazil kwa masaa 48
 
Achana nae tafuta wengine acha kuumiza kichwa wakati Haata salio huna LA kupiga Simu nchi jirani

Tafuta hawa Wa magufuli hawa utaweza kuwapigia simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom