Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Mkuu angalia buku isikutie gharama za kujitibia magonjwa ya tumbo.
Supu na chapati 1000???
Mtakuja ugua kwa supu za vibudu vya broiler ndugu yangu!!!
 
Ninawatoto5.

Ninanyumba ya tembe ( Nyasi ) kijijini wishiteleja, nyarukungu maswa..

Nina mashamba na majaruba ya mpunga kijijini wishitelejah..

Mke wangu mama chanja anamimba ingine. Najua watakuwa n mapacha tu.

Kijijini kwetu mimi ni kamanda wa sungusungu..

Nimekuja dar kuuza ng'ombe zangu

Sasa mimi ni mwanaume ama mvulana utajua mwenyewe..

Wewe ni Mwanaume au Mvulana?
 
Apanaa mkuu.. Ni pesa halali kwa malipo ya shilingi elfu1 za kitanzania
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa we sema uliyopigwa ila sio buku, kama sikosei ni buku 10
 
Hivi wanawake mnaumiaga nini pindi msalitiwapo na vidume.. Yani unalionea wivu dusheeee??? Em kuweni sereouz basiii.

Kusaliti kwa mwanaume ni suna. Ila kwa mwanamke ni UMALAYA na adhabu yake ni kuachwa mileleeeeee
 
Jamani jamani mtuoneee huruma wakuu..
 
Hana lolote zaidi ya mikwara tu, cha ajabu Wanawake aina hii utajikuta unaingia gharama za kila namna ili umpate lakini utayoyashuhudia hadi utajilaumu ni kwanini alikupotezea muda akiwa anajiweka katika high class.

Sometimes huwa wanatumia sana hiyo mbinu kuficha madhaifu yao kama "defensive mechanism" ili hata kama utamkuta hana vigezo thabiti usijemuacha kirahisi rahisi tu.

NB sijasema kuwa ndivyo alivyo bali nimetolea mfano tu kwa uzoefu wa warembo ambao nilishakutana nao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe kaka yangu wewe Ni milionea bwana.
 
Kwakweli m nikisema na-OA huyu, huwa najitoa kwa asilimia zote. Mnaniangushaga nyie tu..

Kuna mmoja niliwai mlipia gharama za hospitali kabisa. Nilimthamini km mke.

Tulipanga aje nilipo. Nkatuma na nauli.

Ila bdae akaanza kunigeuza km zoba flani hivi. Nkajisemea mwenyewe ' Mapenzi n furaha, sasa mbona huyu ananipa stress tu. '

Kwa hiyo wengine tunamaanisha tunaposemaga. Ila mizinga ya kibiya ndio huwa inatukimbizaaaa...
Wapi wewe kwani wanaume huwa mnazingatia ahadi zenu? Ni wanawake wangapi wanaambiwa kuwa wataolewa ila mambo yanakuwa tofauti?
 
Kuwa mwelewa mkuu..

Mimi sichati. Kwanza swezag kuchat. Mimi natwanga. Natiririkaaaaaa kwa ewa tu. Tolagaaaaaaa nyandaaaa
siku ukipgwa buku 10, unajilima kitanzi, sa ulitaka nani anunue bando kipnd mnachat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…