Hivi hii dozi ya chapati ni lazima iwe mbili tu? Kwanini isiwe moja ama tatu?
he he[emoji23][emoji23] mchiz kamaindi buku yake imeliwa kiboya.Teh ....
Kwa hiyo umenimind mkuu [emoji28][emoji28]
Mimi ninayo mkuu[emoji41][emoji41]Hiyo hadhi ya kunigegeda mimi unayo sasa? Hebu nitake radhi bwana!
Hahaahaah wewe komaa tu mkuuLakini pia kunakurudi ninalia kama mleta uzi alivyopigwa kiboya
Kabla hajakutaka radhi. What if ukakutana nae na kumuona ana zaidi ya zile standards zako. Je utampa shark ?Hiyo hadhi ya kunigegeda mimi unayo sasa? Hebu nitake radhi bwana!
Nimeona wimbo mpya wa Ariana Grande. Unao ?Kwa kauli zake tu naassume hana hadhi hata ya kusalimiana na mimi status yake in real life mimi hainihusu na wala sitaki kuijua na kama amezaliwa huo mwaka aliouandika kwenye id yake ndiyo kabisa hakutakiwa hata kuireply comment yangu
Mimi ninayo mkuu[emoji41][emoji41]
Kabla hajakutaka radhi. What if ukakutana nae na kumuona ana zaidi ya zile standards zako. Je utampa shark ?
Kwani wewe vipi mkuu?Nimeona wimbo mpya wa Ariana Grande. Unao ?
Nimekuzimia mkuuKwani wewe vipi mkuu?
Sawa mkuu. All is wellKwa zile kauli hawezi kuwa na hizo sifa
Sisi ndo hatuchezewi ?Siyo kila mwanaume anayetongoza anakuwa anatafuta mpenzi wa kuwa mke baadaye, kuna wanaume wengine wanatongoza kwa lengo la kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha sasa mnataka tuwatambuaje?
Au wanaume mnaotongoza kwa lengo la kuoa huwa mnakuwa na alama zenu mwilini? Msiwalaumu sana wanawake ikiwa hata ninyi wanaume ni wahuni dunia imeharibika sana sasa hivi acheni tu wanawake wajihami jamani maana nao wamechoka kuchezewa na kunyanyaswa na wanaume khaa
Sisi ndo hatuchezewi ?
Wanawake bana eti tunawachezea eti tunawopotezea muda.. Sisi je? Sema tunachezeana.. Tunapotezeana muda usifanye ionekana Kama nyie ndo wahanga
Nimekuzimia mkuu
YeahSawa mkuu. All is well
MUNGU IBARIKI JF NA MEMBA WOTE ...Hivi hii dozi ya chapati ni lazima iwe mbili tu? Kwanini isiwe moja ama 3tatu?
Hivi hii dozi ya chapati ni lazima iwe mbili tu? Kwanini isiwe moja ama tatu?