Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1,160
Reaction score
1,201
Naandika haya huku roho ikiniuma sana. Kabuku ( Tsh 1000 /= ) kangu kameenda kizembe sana. Dah

Siku hizi wadada wamekuwa wepesi sana kutoa namba zao mitandaoni..

Basi bana, juzi kati nkamuomba manzi flani namba. Fasta akanipa. Nkabaki nikijisemea ' Huyu naoa kabisaa '

Basi nkampgia, hakupokea. Bdae nkapga akadai hakuwa na kifurushi, ndio maana kashindwa kuntafuta bda ya kuona misd col.

Nkamwambia uswze. Akasema ' niungie bathiiii bandooo ' kwa sauti yaoo

Kimoyomoyo nkasema ' Tayaliiiiiiiiii '

Ila nkasema fresh, ngoja nijilipue tu. Ile kinyonge nkaenda kwa mangi nkanunua TIGO YA Tsh 1000/= nkamtumia

Athanteeeee ..' Ndio majb yake '

Nkasema fresh Mamilooo.. Takupigia bdae sasa. Akajibu poa.

Asubh nimempgia hakupokea pia. Nmepiga mida hii akadai pia hakuwa na simu plus hana kfurush. ' Niungiee basi bandoooo.. '

Nikasemaaa, Ayaaaaaaaa. Huyu nae vipi. Boyaaaaaàa nini. Kashanigeuzaaa mi falaaa wake sasa...

Sitatuma tena pesa yangu kwa hawa viumbe aiseee..

Buku langu si bora ningeenda kunywa supu ya jelo na chapati mbili.. Na chench ingebaki kabisaa

Nimefuta na namba japo roho bado inauchungu na Buku langu..
 
Back
Top Bottom