Nimepigwa kibao na jini

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu yamenikuta huku,

Leo usiku mida ya saa 8 nilipigwa vibao na mtu nisiyemuona yaani haonekani kabisa, nadhani ni jini lile.

Naombeni msaada je nifanye nini kujiokoa na dhahama hili wakuu?
 
pole sana! itabidi umrudishie na wewe... pita tena kwa mwendo wa kunyata alafu mrudishie ...

pole sana mkuu
 
sasa hivi inabidi utulipe kwa kusoma ujinga wako
Huyu mwenyewe anaweza kuwa jini maana ana mambo ya kijinga kabisa! Mara aende congo na bodaboda mara nini vitu vya kusadikika sana
Atulipe kwakweli.
 
Umezoea kulala uchi, kwa hiyo akija hapati shida ya kufanya yake.. Safari hii kakukuta umelala na nguo ndiyo maana kakutandika kibao... Endelea kulala uchi uone kama utapigwa vibao...
 
Yaani ulupotea na leo nimukusifia umebadilika nikaambiwa hauwezi kubadilika nimeamini wendawazimu upo kichwani na damuni kwakoo khaa yaaani haukuwi kabisa
 
Enzi hizo ... Ujanani aka utotoni siku hizi sidhani

Hio ni chai live!!! Kama ni kweli eleza ulikuwa wapi na ulipigwaje hilo bao! Na ipo je hali yAko ... Je hilo domo lishapinda... !?
 
Wakuu yamenikuta huku,

Leo usiku mida ya saa 8 nilipigwa vibao na mtu nisiyemuona yaani haonekani kabisa, nadhani ni jini lile.

Naombeni msaada je nifanye nini kujiokoa na dhahama hili wakuu?
"...Ungempiga Biti kwnza, afu una mwambia kama huna geto kwa kulala lala hapa aache kuzingua"
 
Back
Top Bottom