Nimepiga pekupeku sana Kanda ya Ziwa

Nimepiga pekupeku sana Kanda ya Ziwa

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,728
Reaction score
4,075
Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar es salam, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema.

Hii Kanda Malay-a wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya ni biashara ambayo ni kama imerasimishwa.

Usiulize takwimu za UKIMWI. watu wa huku vijijini Kanda ya ziwa huwa hawapimi wanakulana pekuu tu, madak0 yao.

Malaya wanajiuza hadi vijijin na wananunuliwa hadi na wanafunzi wa Sekondari, dogo yuko form one kishaanza kununua mbususu akifika chuo je.✍️😎
 
sometimes unaweza kua mgonjwa na usijijue, sasa hii inakusaidia nn katika maisha
 
Kwa upande wangu hiv/aids ni scenario tu,
Iringa na Njombe wana miamko sana ya upimaji,, ndio sababu ya namba za walioathirika ni kubwa sana huko,, tofauti na Mwanza na Geita huku mtu kupima afya ni hadi augue,, kama ulikuja kanda ya ziwa ukapiga peku,, itabaki kwako kuwa uko salama,, sasa nenda Njombe huko kapige peku halafu uje hapa kutupa mrejesho,,
 
Kwanza Njombe na Iringa unazingua? Upo kwa mumeo huko unaleta ushoga kwenye page za wanaume hapa
 
Back
Top Bottom