Nimepiga hizi picha.

Uzi wa kutupia picha ya mahali popote ulipo.. Then wazee wa location watajiongeza.
 
Uzi mzuri lakini waweza haribiwa. Piga picha mwenyewe pua waweza give a clue to what was going on in the picture ingependeza zaidi.....
 
Nilibahatika kumpiga huyu picha.. Kuna kinacho nivutia hapo
 

Attachments

  • Screenshot_20180322-232728.png
    187.4 KB · Views: 56
Mi naona picha za mazingira asilia, mimea iliyopigwa picha kwa namna ya kuvutia, majengo ya kihistoria na natural features kama milima, mito na bahari ndo lengo la mleta Uzi jamani..

Yaani pia kiufupi ufundi katika kupiga hizo picha zivutie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…