Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,992
- 27,935
Mshauri vizuri, USIMUONEE WIVU, mungu ndiye hupanga mja wake apate kwa namna gani, ukiumbiwa ugumu stahimili magumu.Tafuta mademu wakali uwagonge sana ili upate akili ya kutafuta pesa zako mwenyewe.
Achana na haya mawazo ya kizee mkurugenzi. Hiyo hela utenda tu kuizika, na biashara ya milioni 3 haiwezi kukutoa hapo ulipo na kukupeleka mbali zaidi.Nimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
Acha kumpoteza kijana ....hiyo hela aingize kwenye biasharaHilo wazo lako ni zuri.
Njoo Chanika ununue nyumba ya milioni 12, milioni 1 nunua furniture na hiyo nyingine fanya biashara unayoipenda.
Usifanye jambo lolote tofauti na hilo wazo lako.
Humu wapumbavu ni wengi sana.
[emoji23][emoji23]Tafta demu mkaliii alaf nunua na crown moja used ikupe presha ufe
Acha wenge wewe,kwa wenge hilo unaweza hata kutapeliwa,miaka 42 mda wote ulikuwa unafanya nini?Nimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
There is To big to fail bank kama CRDB na NMB.Hujasikia msururu wa mabenk yakifilisika???
Kuweka pesa benk kipind hiki ni bonge la kamar husuusan pesa ya ngama km hiyo
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Lolote laweza tokea.There is To big to fail bank kama CRDB na NMB.
#YNWA
Kama ni vigumu acha, si lazima kila mtu awe na shughuli. Tafuta kitu rahisi kama mademu na kulewa ufanyeUnaongea kama kitu rahisi vile
Basi usiweke fixed itoe uwe unapiga nayo picha na kuilalia kwenye mto uone kama baada ya miezi sita utakuwa hata na hiyo 360,000. Unaelewa kwanini watu wanaweka hela fixed account?Mil 10 fixed account kwa miezi 6 haizidi 360000
Kama uko serious na hii issue, mfate mzee wako akueleze cha kufanya kwa uangalizi wake maana wewe bado mdogoWakubwa Kwema?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.
Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili.
Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho [emoji1431]