Nenda kaweke bank then chukua 5 mil anza biashara ujifunze kwanza.Wakubwa Kwema ?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24...
Tuliza kichwa kwanza nunua hata kiwanja kikubwa cha 5m hata chanika au kibaha...5m inatosha kujenga nyumba ya rum 2Wakubwa Kwema ?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net
nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili
harafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho [emoji1431]
Nikupeleke kitambaa cheupe, ukapoteze kidogo mawazo na ufikirie mawazo mapya..[emoji2][emoji2]Wakubwa Kwema?
Kama kichwa cha Habari kinavyoeleza hapo juu
Mimi ni kijana wa miaka 24, nimepewa Urithi wangu mapema kiasi cha milion 18 net.
Nimeambia hizo pesa nikizifanyia ujinga ndiyo basi tena nitakuwa sina kitu kwa mzee sasa nimewaza kununua hata kijumba cha milioni 14 nje ya Dar es salaam hata cha vyumba viwili.
Halafu 4 inayobaki nijaribu kuitia kwenye biashara yoyote itakayoweza kuizalisha sasa wakuu napagawa kwa sababu sikujipanga nisaidie kwa lolote hiyo kwangu ndo karata ya mwisho [emoji1431]
Weka hela fixed hata mwaka upate akili , nyumba utainunua na utaiuza niaminiNimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki
Nakaziampaka hapo ushaimaliza tayari!
Nimepata nyumba chamazi kwa ml 15 sasa nawaza hiyo inayobaki