Nimependwa na askari jeshi wa kike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimependwa na askari jeshi wa kike!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mitishamba, Mar 11, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzenu askari jeshi wa kike amenipenda na anataka nimuoe.
  Nifanyeje?
  Ushauri wenu tafadhali.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Muoe tu kama na wewe unampenda. Aliekwambia askari wa kike sio mwanamke ni nani? Kwani wewe unataka kila profession ya mtu au mtu mwenyewe?
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mvue combat hizo ujimegee kiulainiiii... but you better be serious, la sivyo tegemea kipigo cha mbwa mwizi
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chukua chombo iko Comrade then ujihakikishie ulinzi
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Jiandae kufulishwa nguo na kuosha vyombo
   
 6. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kwan hana 'mbumbilo'? Kama umependa. . .tena sketi zao fupi, unanyanyulia juu 2. . .
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,463
  Likes Received: 3,727
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unataka upendwe na nani
   
 8. L

  Lady G JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmh hivi askari wa kike sio mwanamke kama wanawake wengine! Mmmh kazi kwl kwl
   
 9. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mpe kitu roho napenda,ila angalia siku ukim cheat AK 47 inahusika....
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Nazidi kuunganisha doti kati ya malalamiko yako ya kuibiwa cheti na askari polisi na hili la wewe kumpenda askari wa kike,ITAFAHAMIKA.
   
 11. African American

  African American Senior Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  if u cant afford,tel her to pm me..know how to treat soldier ladies.
   
 12. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Ila uwe radhi kamanda wa kikosi akitaka huduma jibu lake huwa "ndio afande" kwa hiyo usimlaumu. Wewe unafikiri wanawake jeshini wako kwa ajili ya kupigana vita!?
   
 13. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mwanamke sawa....tena huyu ni mzuri ajabu. Tatizo kuna mambo mengi sana yanazungumzwa kuhusu hawa watu, kuanzia huko depo hadi kempu.
  sasa ndo najiuliza.
   
 14. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni haya maneno ya mtaani.
   
 15. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sikiliza moyo wako unasemaje
   
 16. B

  Bahati Joseph New Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanangu WP co mwanamke utaumia pale akianza kutafuta vyeo lazima amegwe sana na makamishna.
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Akienda lindo jiandae kupigwa doroo teh! teh! Chezea wanajeshi veve eeh?
   
 18. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Jiandae kuishi kambini.
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kumbe tatizo ni hayo mambo mengi? Nakushauri usiyaowe hayo mambo mengi lakini huyo mwanamke mzuri owa tu kijana!
   
 20. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Chunguza kama bolti zake ziko fit chukua jumla, maana jeshini walegezaji bolti ni wengi kutegemea na cheo alichonacho huyo mpenzio.
   
Loading...