Nimependwa au nini kinaendekea hapa aisee!

Nimependwa au nini kinaendekea hapa aisee!

Kusoma mwandiko mbaya ni turn off sana, muhimu sana mtu ajirekebishe kwenye uandishi ili watu wavutiwe kusoma. Halafu hii ni lugha yetu, kwa nini uandike kama vile ni lugha ya kukopa!!!
Kwani watu wanaotumia vifupi vya maneno ..si fahari yao ...sikumoja nilichati na msichana mwanafunzi wa form 2 sikuelewa anacho andika...wana ulimwengu wao wa lugha si kwenye kingereza walq kiswahili ....mfano gud9t
 
Hivyo vifupisho sio tu kwa watoto wadogo, hata watu wazima wengi wanafupisha sana maneno. Niambie neno xaxa ni ufupisho au uharibifu wa lugha, neno lamli lina maana gani kwenye lugha?

Unafupisha maneno kama mwenyekiti kuwa m/kiti, ila sio xaxa nk na kuna lugha naifahamu wana namna ya kufuoisha maneno na iko rasmi.
 
Watu mnaofanya kazi au mliowahi kufanya kazi za ualimu mnanichekeshaga sana .
Na mostly wenye huo utoto ni walimu wa kiswahili na English.
Huwezi kuta mwalimu wa physics au Mathematics anafanya huo utoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom