Nimependwa au nini kinaendekea hapa aisee!

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,580
Reaction score
13,049
Karibu wiki kadhaa sasa kutokana na vyuma kukaza Jijini hapa pamoja na pilikapilika za uchafuzi nchini. Niliamua kubadili mfumo wa maisha na kuishi maisha ya bei rahisi.

Niliamua kuanza kutafuna Mizizi (Mihogo) asubuhi kisha mchana napata tonge kadhaa Heavy Weight mwisho jioni namalizia na msosi laini kama Ndizi mbili tatu au Papai.

Sasa kunasista mmoja jirani hapa muuza Mihogo ananipa changamoto kidogo simuelewi kabisa, nikienda na Jero ananiwekea Mizizi ya Buku na nikienda na Buku anajaza bakuli zima nusu litapike.

Sasa najiuliza ni Nyota kali hii au ananionea huruma na usawa wa maisha, lakini pia nawaza huenda anahitaji kuniwahisha peponi nikavune nilichopanda mapema huko kwa waendako? Niko njiapanda wakuu....
 
Karibu wiki kadhaa sasa kutokana na vyuma kukaza Jijini hapa pamoja na pilikapilika za uchafuzi nchini. Niliamua kubadili mfumo wa maisha na kuishi maisha ya bei rahisi. Niliamua kuanza kutafuna Mizizi (Mihogo) asubuhi kisha mchana napata tonge kadhaa Heavy Weight mwisho jioni namalizia na msosi laini kama Ndizi mbili tatu au Papai. Sasa kunasista mmoja jirani hapa muuza Mihogo ananipa changamoto kidogo simuelewi kabisa, nikienda na Jero ananiwekea Mizizi ya Buku na nikienda na Buku anajaza bakuli zima nusu litapike. Sasa najiuliza ni Nyota kali hii au ananionea huruma na usawa wa maisha, lakini pia nawaza huenda anahitaji kuniwahisha peponi nikavune nilichopanda mapema huko kwa waendako? Niko njiapanda wakuu....
Wewe kula acha maneno mengi, mengine atajua mwenyewe
 
Dada wa watu kakuonea huruma usife kwa njaa ww unawaza mizagamuano😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom