kepha_006
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 414
- 764
Itoshe kusema atapigwa na kitu kizito hatoaniHakuna cheti cha kuteseka mkuu…
Itoshe kusema atapigwa na kitu kizito hatoaniHakuna cheti cha kuteseka mkuu…
Acha apigwe ndio maisha aliyoamuaItoshe kusema atapigwa na kitu kizito hatoani
😂 😂 😂 😂 😂 Siku mbili tu umejua anakujari, amekuuliza future yake umemtongoza kakubali na j3 unamuoa mtoto wa kigogo serikaliniWakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimependa niwape mkasa ulionipata Jana.
Npo mtaa x sasa Jana jioni kuna sehemu nilikuwa naenda sasa njiani nikakutana na demu mmoja mkali kinoma ana
Na kajua anamjari sana 😂😂😂😂 mtoto wa kigogo serikalini j3 ndoa usisahauSi ndio hapo sasa jamani
Embu ngoja na mimi nijaribu siku moja
Aaahh mie tena😆😆😆naomba uwe MC kama hutojali mkuuNa kajua anamjari sana 😂😂😂😂 mtoto wa kigogo serikalini j3 ndoa usisahau
Sina mwaliko bhanaAaahh mie tena😆😆😆naomba uwe MC kama hutojali mkuu
😆😆😆😆wewe andaa nguo mualiko niachie mmSina mwaliko bhana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Juma3 ww oa juma4 utaleta mrejesho na kichwa cha HABARI wanawake wanataka nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi uhuru umezidi yani mwanamke anauliza future yake kwa mwanaume hata masaa 24 ya kutongozwa hayajaisha
Utapigwa na kitu kizito siku sio nyingi!Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimependa niwape mkasa ulionipata Jana.
Npo mtaa x sasa Jana jioni kuna sehemu nilikuwa naenda sasa njiani nikakutana na demu mmoja mkali kinoma ana shape kama lote kwa ujasiri nilionao ikabidi nimsimamishe nikaanza kuongea nae uwa natumia swaga ya kuwaambia mademu kuwa kama nakufahamu au nimekufananisha then demu akirespond ameingia cha kike.
Kweli demu akawa ana-respond akisema unanifananisha na nani basi nilifanikiwa kuchukua namba then jioni nikawasiliana nae sasa Leo asubuhi nikamuomba appointment demu akawa anakaata nikafosi hadi akakubali basi tulipanga tuingie swimming sehemu flani Mbezi,
Nipo na demu kila ninachomnunulia anakataa yaani demu hataki nitumie hata mia kwaajili yake.
Basi tumeenda swimming tumeoga then tumerudi. My point kukatisha stori ni kwamba demu hapendi hela na ananijali sana nisitumie hela kwaajili yake nilinunulia chakula kwa kulazimisha hadi akakubali pia nimemtongoza demu kakubali japo aliniuliza maswali magumu magumu na future yangu kwake nikashinda mtiani so my swali hivi kumbe kuna wanawake ambao hawapendi hela siku hizi?
Kwenye kupiga stori ameniambia babaake ni MTU mkubwa sana serikalini lolooo!
Wakuu demu mpole kinoma halafu pisi Kali aiseee huu asipobadilika namuoa j3 ijayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]